A
Unamjibu kitaalamu au unamfokea na kumtukana kwa kadiri ya ulivyojisikia tu?Unataka wasimamie wa VETA unaowajua wakupenyezee desa
Wewe kwanza utakuwa mlugaluga huwa mna mihemko na kukurupuka tu
Hakuna mtihani wa kufuzu utasimamiwa na mwalimu wako, acha utoto na komaa kusoma upasi kihalali
Vyuo vikuu vyote duniani kote mitihani inasimamiwa na walimu wenyewe. Huenda kanuni za VETA haziruhusu anafundisha asimamie mitihani ya kuhitimu.Unataka wasimamie wa VETA unaowajua wakupenyezee desa
Wewe kwanza utakuwa mlugaluga huwa mna mihemko na kukurupuka tu
Hakuna mtihani wa kufuzu utasimamiwa na mwalimu wako, acha utoto na komaa kusoma upasi kihalali