VETA wafungue matawi yao vyuo vikuu vyote vya Tanzania, ijumuishe kwenye GPA ya matokeo, vyuo viliopo havitoshi kupokea un employed graduates wote

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Kauli ya waziri mkuu sio ya kubeza au kuikejeri huyu ni wa pili baada ya Raisi na ni kiongozi wa government bussiness kwenye bunge ndo anae jibu chochote kinacho husiana na serekali bungeni.

kila analo ongea ni kutoka kwenye classified inner intelligence briefing za cabinet na serikali.
Kauli yake ya kusema wenye degree wasome veta kupata ujuzi zaidi huenda soon itakua government policy.

katika nchi ziliozo endelea mandalizi ya veta kujianda kupokea magraduate wengi ingekua zimesha anza ila Tanzania bado watendaji wa melala sijui kwanini.
@modorators plz acheni Uzi watu watowe maoni yao.
 
Ndo wano tuburuza utafanya je, wewe huwexa kuanzisha mfumo wako kama huna dola, lazima tutii Ccm, ili tuendelee kuishi.
Nimekuuliza unawaamini ccm? Kiko wapi kilimo kwanza? Wako wapi vijana waliohaidiwa mashamba? Iko wapi big results now? Tanzania ya viwanda imeishia wapi?
 
Na wewe unawaamini ccm?
TAALUMA MPYA TANZANIA
1. Bachelor of Accountancy and Welding?
2. Bachelor of Finance and Motor vehicle Wiring
3. Diploma of Finance and Tyre Check up
4. Certificate of Computer Science and Guta driving
5. Diploma of Accountancy and Oil changing
6. Certificate of Computer Science and Chips Preparation
7. Civil Eng, Hair Dressing & Beauty
 
Hilo ndo linapaswa kua acheni mzaha, ajira ni shida kwelikwali
 
Hata wale wa civil engineering waende? Au yeye alimaanisha wa sociology? . Mmuulize vizuri PM wetu mlio karibu nae.
 
Jamaa bhana una utani sana halafu kozi ya 7 lecturer awe gigy money au hamisa maana ndio fani zao
 
Hata wale wa civil engineering waende? Au yeye alimaanisha wa sociology? . Mmuulize vizuri PM wetu mlio karibu nae.
Kwani hao civil engineering wanajua kila kitu? na cookery painting plumbing nk
 
Nyerere aliweka stadi za kaz , hawa wenye degree 2 wakaliondoa hilo somo
 
Hiyo imekaa vizuri
 
Rudisheni stadi za kazi kwenye elimu ya msingi na iwe ya vitendo zaidi, futa kwenda JKT ukimaliza form six, weka kwenda VETA ndio iwe mandatory kwenda baada ya form six, shule za Technical (Ufundi) zipewe sapoti ya kutosha zaidi.

Janga la ajira ni kubwa sana kuliko tunavyolichukulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…