K kyoga Member Joined Sep 16, 2011 Posts 31 Reaction score 11 Nov 8, 2011 #1 Taasisi moja yaendesha mifumo mitatu tofauti ya mafunzo ya ufundi, kuna trade test, CBET, na CBA. sasa ni muda wa zaidi ya miaka 10 mitaala ni ya majaribio kila kukicha, je nchi hii tunakwenda wapi?
Taasisi moja yaendesha mifumo mitatu tofauti ya mafunzo ya ufundi, kuna trade test, CBET, na CBA. sasa ni muda wa zaidi ya miaka 10 mitaala ni ya majaribio kila kukicha, je nchi hii tunakwenda wapi?