Veta yakosa mwelekeo wa mafunzo ya ufundi

Veta yakosa mwelekeo wa mafunzo ya ufundi

kyoga

Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
31
Reaction score
11
Taasisi moja yaendesha mifumo mitatu tofauti ya mafunzo ya ufundi, kuna trade test, CBET, na CBA. sasa ni muda wa zaidi ya miaka 10 mitaala ni ya majaribio kila kukicha, je nchi hii tunakwenda wapi?
 
Back
Top Bottom