Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 395
- 357
Karibu nikufanyie kazi. Tembelea site zangu ambazo zipo on processHabari wakuu...
Kwa sasa kuna kundi kubwa sana la watu wanaofanya ujenzi kwa watu binafsi kwa mkataba, ukitembelea instagram utaona ni jinsi gani walivo wengi...
Kiongozi siwez pata part time job kwa ofis yako nasomea quantity surveying and construction economicsKaribu nikufanyie kazi. Tembelea site zangu ambazo zipo on process
We UVIMO unaanzisha nyuzi nyingi za promo ya ujenziMkuu hebu wasiliana na UVIMO,
Sisi tumesajiliwa na tumefanya kazi nyingi na tuna video zilizo brandiwa jina letu....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] poaNi kweli , ila utajuaje kama najitekenya mwenyewe?
Natamani wanao tuweka busy toka mwaka jana hadi leo wajitokeze....