mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Ndiyo maana yangu nimekosea uwasilishajiMleta mada nimekuelewa. Nafikiri kinachotakiwa ni kuwa na kiongozi mkubwa wa kimkoa mwenye nguvu aliyetokana na wananchi na awenanguvu kama alizonazo mkuu wa mkoa na zaidi. Tuachane na hawa viongozi wa kisiasa ambapo ni mkuu wa mkoa/wilaya - Iringa at the same time anajipanga kugombea Ubunge kwao Mtwara.
Ukanipa unaukwepaje Kwa mfano? Hupo hila chini chini, uwezi ukaenda mbeya mzawa akakuuzia shamba la hukooMbegu ya ukabila ni mbaya sana
Serikali Za majimbo mzuri ndio maana marekani kumeendelea. Ukiangalia Kwa umakini uwezi kumchukua mtu wa dodoma mgogo akapaendeleza Musoma au Kilimanjaro.Mabwana wale wa serikali za majimbo wamekuja kwa gia nyingine.
Mambo mengine yamekuzidi umri achana nayoNadhani mleta mada anatuletea tu kwa uchache namna utekelezaji wa sera ya majimbo kama ulivyopendekezwa na makamu mwenyekiti wa Chama chake Bwn. tundu kisu.
Uzawa Unaweza kuleta maendeleo Kwa sababu zifuatazo.Kama tukiwa tunafanya kazi hasa za kiuongozi kwa mawazo haya, basi taifa litapotea na ubaguzi utarejea na si ajabu hata ukabila ukazaliwa upya, maendeleo hayaji kwa sababu ya uzawa.
ujinga mtupu, pumba, mnajidai mnaakili sana, yote hii ni akili ya kung'anga'nia madaraka na ubinafsiWanaJF,
Niliposoma katiba ya Kaji waliomba ilichagiza Zaidi wateule wa Rais watokane Na mikoa yao. Hii inaleta maana kwamba Ni rahisi wananchi wa sehemu hiyo kupata mwakilishi mzuri Na Kwa kuwa anakuwa anafahamu vizuri maeneo Ni rahisi kuondoa migogoro ya kwao kuliko kuleta Mgeni asiyefahamu maeneo husika.
Mikoa ya mara, Morogoro, ruvuma, mtwara, kagera Kuna chamoto nyingi Za migogoro ya hapa Na pale, pengine Ni rahisi kama mkuu wa Mkoa na kamati yake wanaweza kusikilizwa Zaidi. Mfano JPM alivyokuwa anazunguka amekutana Na dhuruma nyingi akazitatua, hizi zimetokana Na rushwa au kutokujari Kwa vile hayawahusu.
Sasa huu ujinga una haja ya kuuliza umri wa mtu.Mambo mengine yamekuzidi umri achana nayo