ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Aiseeeh
Kwa syle hii watanzania hatutaendelea kamwe..
nimeelewa sana hapo kuwa hicho kitu alichokalia ndiyo kinaleta matatizo yote ya chuki.Wwe utakua kamasi za bashite sio bure unaongea kama umekalia kitu cha ncha kali..
Source za taarifa yako ziko wapi?
nimeelewa sana hapo kuwa hicho kitu alichokalia ndiyo kinaleta matatizo yote ya chuki.
Diamond baada ya kufukuzwa vevo amerudi kupost video zake kwenye account yake ya kawaida. Vevo wamemtimua. Wanataka wanamuziki wazuti wa kimataifa kama wizkid na davido. Pia hawataki msanii asieweza kuimba kingereza. Sasa diamond anashuka wenzake kina wizkid wanapanda.
Ali kiba yeye ndo alishajifia kitambo. Naona wawakilishi wa tanzania kimataifa wamebaki wawili tu rayvanny na hamonize
Kweli kabisa yani kama sisi kwa sisi tunaoneana wivu kiasi hiki hatutaenda popote.Kwa syle hii watanzania hatutaendelea kamwe..
Chuki kama hii haimuumizi unaemchukia...inakuumiza zaidi wewe binafsi,furaha unayopata kwa kunuombea mwingine mabaya huyo ndio mchawi wa hali duni yako.....Diamond baada ya kufukuzwa vevo amerudi kupost video zake kwenye account yake ya kawaida. Vevo wamemtimua. Wanataka wanamuziki wazuti wa kimataifa kama wizkid na davido. Pia hawataki msanii asieweza kuimba kingereza. Sasa diamond anashuka wenzake kina wizkid wanapanda.
Ali kiba yeye ndo alishajifia kitambo. Naona wawakilishi wa tanzania kimataifa wamebaki wawili tu rayvanny na hamonize