VEVO wamemtimua diamond hauzi

VEVO wamemtimua diamond hauzi

Huyu si juzi tu alitamba kuwa Vevo wanamlipa vzuri kuliko wasanii wote wa Africa kwa sababu yeye afanyi kazi n mtu kati kama wenzie ahaaa ahaaa sasa kimemkuta nini Dimond isije kuwa wamemdhulumu
 
Kuna big names nyingi sana haziko VEVO.
Mfano
1. Jason Derulo
2. Ed Sheeran- ambae nyimbo yake ya shape of you ina 1.5 billion

Just to mention a few.
So kuwa VEVO sio kigezo cha kuwa a big name au ndio unaingiza pesa nyingi. Ni platform tu.
 
Diamond baada ya kufukuzwa vevo amerudi kupost video zake kwenye account yake ya kawaida. Vevo wamemtimua. Wanataka wanamuziki wazuti wa kimataifa kama wizkid na davido. Pia hawataki msanii asieweza kuimba kingereza. Sasa diamond anashuka wenzake kina wizkid wanapanda.

Ali kiba yeye ndo alishajifia kitambo. Naona wawakilishi wa tanzania kimataifa wamebaki wawili tu rayvanny na hamonize


Hawa si wanamuziki, ni wasanii tu. Yaani ni sawa na kuimba karaoke kisha ukajiita mwanamuziki. Nawashangaa wanaopenda bongo fleva.
 
Unless kwa wasanii ambao tayari wapo kwenye labels zinazomiliki Vevo lakini kwa msanii ambae hana mkataba huko na wala hana mashabiki Ulaya, America na Australia, hao kuwa vevo ni mbwembwe zinazowaumiza wenyewe kwa sababu, wanaweza kupata pesa nyingi kupitia Youtube kuliko kuwa na akaunti ya Vevo!!!
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Vannesa anauza kuliko Diamond
 
idd ni kesho kutwa nikumbusheni msanii gani kafutulisha ili niweke kumbukumbu zangu sawa
 
Vevo wanauza nini kwenye YouTube Channel yao? Au wanalipa kwa views nao?
 
Vevo wamemkataa kisa hawezi kuimba kwa kingereza.... [emoji23][emoji23][emoji23]....UNATANIA SI NDIO MLETA UZI?...
 
Kila mbuz akule kwa urefu wa
Kamba yake
 
Back
Top Bottom