leo jicho la juu linanicheza sana....sijui my Liberto ameniandalia sapraiz gani leo....
leo jicho la juu linanicheza sana....sijui my Liberto ameniandalia sapraiz gani leo....
mpaka leo naamini nikiwashwa mkono napata hela...!!!!!teh!teh!teh!!!
hapa nawashwa balaa....!!!jamani nani ana bahati aniandikie kiasi cha pesa..???maana kama una gundu siwezi kupata ng'oo....!!!!
sijui ni kitu gani....lakini kwangu huwa inakuwa kweli.....nikiwashwa mkono ni lazima nipate hela......sijui imekaaje hii.....
au ukiwa safarini kumtembelea mtu ukijikwaa mguu wa kulia basi humkuti home.
Kwamba ukiwa umesahau jina la mtu eti yuko chooni , akitoka tu unalikumbuka.
vitu vingine ni sahihi sema mkishaokoka mnageuza kila kitu ni uchawi.to be honest hki kiimani huwa nakiamini na mara nyingi huwa kweli. . .
vitu vingine ni sahihi sema mkishaokoka mnageuza kila kitu ni uchawi.
wewe uko balanced wengine ni kama wehu kwa hizi imani za kitumwa.me naamini hata kama umeokoka kiasi gani kuna mila/desturi huwezi kuziacha kamwe!
Fumanizileo jicho la juu linanicheza sana....sijui my Liberto ameniandalia sapraiz gani leo....