corasco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 3,664
- 3,389
mi nikiwashwa mkono wa kushoto napata pesa..ikiwa kulia ujue nijiandae kutoa pesa kwa matumizi nisotarajia nachukiagasijui ni kitu gani....lakini kwangu huwa inakuwa kweli.....nikiwashwa mkono ni lazima nipate hela......sijui imekaaje hii.....
Sent using Jamii Forums mobile app