corasco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 3,664 Reaction score 3,389 Feb 21, 2019 #21 Preta said: sijui ni kitu gani....lakini kwangu huwa inakuwa kweli.....nikiwashwa mkono ni lazima nipate hela......sijui imekaaje hii..... Click to expand... mi nikiwashwa mkono wa kushoto napata pesa..ikiwa kulia ujue nijiandae kutoa pesa kwa matumizi nisotarajia nachukiaga Sent using Jamii Forums mobile app
Preta said: sijui ni kitu gani....lakini kwangu huwa inakuwa kweli.....nikiwashwa mkono ni lazima nipate hela......sijui imekaaje hii..... Click to expand... mi nikiwashwa mkono wa kushoto napata pesa..ikiwa kulia ujue nijiandae kutoa pesa kwa matumizi nisotarajia nachukiaga Sent using Jamii Forums mobile app