Hakika sijamuona yeyote mwenye tatizo kama hili kwetu.....najishangaaJe kuona yoyote kwenye familia yako aliye na hali kama yako?
Hahahahaaaa...! Umenifurahisha mtaalamu. Ila mimi ni ME sio KE. Asante.Umri wako?..jinsia?..kama ni mwanamke..hapo ndo unakaribia kuingia hedhi. Na kesho au kesho kutwa utaona tumbo la chin lina kata. Linasokota ivi. Pole...usitumie chochote. Mi ni mtaalam wa magonjwa kina mama na watoto.