JamboJema
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 1,143
- 209
Nimetokewa...na natokewa na viuvimbe fulani usoni ambavyo ni vyeusi na haviumi. Ni vidogo sana kana upele kidogo lakini haviumi kabisa. Sasa uso wangu umekuwa kama nina madoa madoa madogo meusi mengi na kuniharibu ngozi. Naomba msaada jamani niviondoe vipi.