Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania inatengeneza plastic zaidi ya Kunyaland!Huwa nasikia tu kuhusu kujikweza kwa hawa Wakenya kwamba wana "viwanda" vinavyoitegemeza Tanzania.
Nikawa najiuliza, ni viwanda vya aina gani vilivyopo Kenya? Vingapi? na vinazalisha kitu gani?
Navifahamu viwanda viwili tu, vya kutengeneza BIG G na plastiki.
Hizo BIG G ndizo zinazoitegemeza Tanzania ama huwa wanamaanisha nini hasa wakisema "wanaitegemeza" Tanzania?
Hilo neno la "kutegemeza" walilitoa wapi hawa?
Kutegemeza?
Zezeta 🚮🚮🚮Jione, zezeta ni wewe ambaye hujui tofauti kati ya total manufacturing revenue na tax from manufacturing revenue. [emoji1] Mwaka wa 2019, nchini Kenya: Total Manufacuring revenue-$7.12Billion, Tax from Manufacturing revenue- $1.64Billion. Tanzania: Total Manufacturing revenue- $996Million, Tax- who cares? [emoji1] Yaani kwa ufupi GOK iliingiza hela nyingi kutoka kwa ushuru uliotozwa viwanda-$1.64B, zaidi ya hela zote ambazo viwonder vya Tz viliingiza kwenye uchumi wa Tz-$996M, achilia mbali ushuru. [emoji38] Bure kabisa, kwenye viwanda tafuteni ligi na nchi nyingine. K.m. Burundi.
Kuku mnaokula wanatoka TanzaniaA Tanzanian calling the Kenyan manufacturing industry "viwonder".
The desperation from you guys is astounding
Sasa mbona unalia? [emoji1] Kwasababu ya takwimu au? [emoji1] Haya basi, endelea kulia, ndio hizi takwimu kutoka kwa hiyo hiyo Business Daily uliyoinukuu hapo juu. Financial services topple manufacturing as top source of tax Contribution ya viwanda kwenye uchumi wa Kenya mwaka wa 2019(Juni) ilikuwa ni 7.15%. Ambayo ni KES 712.58B($7.12B), ushuru kwa GOK, KES 164.30B($1.64B). 'Total revenue' nchini Tanzania kutoka kwa viwanda 2019, kabla ya ushuru, $996Million. Pambaneni tu na hivi viwanda vyenu. [emoji38]Zezeta Haitakaa itokee muingize $7b kwenye viwanda mpaka dunia inaisha, huu upumbafu kawaeleze mazezeta wenzio sio mimi
Hakuna chochote mnachouzia Tanzania ambacho hakizalishwi Tanzania wala Hakuna chochote tunachowategemea kiviwanda
Nitajie kiwanda kilichopo Kenya, Tanzania hakipo.
Haya mashudu yako baki nayo sababu hata siyasomiSasa mbona unalia? [emoji1] Kwasababu ya takwimu au? [emoji1] Haya basi, endelea kulia, ndio hizi takwimu kutoka kwa hiyo hiyo Business Daily uliyoinukuu hapo juu. Financial services topple manufacturing as top source of tax Contribution ya viwanda kwenye uchumi wa Kenya mwaka wa 2019(Juni) ilikuwa ni 7.15%. Ambayo ni KES 712.58B($7.12B), ushuru kwa GOK, KES 164.30B($1.64B). 'Total revenue' nchini Tanzania kutoka kwa viwanda 2019, kabla ya ushuru, $996Million. Pambaneni tu na hivi viwanda vyenu. [emoji38]![]()
Sore loser. Acha kulia lia na kuruka ruka bila formular. Takwimu nimekupa, zaidi ya hapo jifanyie risechi wewe mwenyewe.Haya mashudu yako baki nayo sababu hata siyasomi
Nataka utaje kiwanda kilichopo Kenya, Tanzania hakipo
, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sore loser. Acha kulia lia na kuruka ruka bila formular. Takwimu nimekupa, zaidi ya hapo jifanyie risechi wewe mwenyewe.
Yaani nimecheka kwa sauti kubwa, huu upuzi ulioubandika humu, yaani nyie elimu yenu ina kasoro, mwacheni huyu ,basi tu hajielewi.yaani ninyi makusanyo yote ya kodi mwaka mzima hamfiki $8B ndio viwanda pekee viwaingizie $7B
Ndio maana mnatapeliwa na vibaka wenu mnaowaita viongozi kama mazezeta 🚮🚮🚮
View attachment 1542105
anamaanisha lube .ya gay🤔🤔🤔🤔leke oil lubes tanzania
camel oil lubes tanzania
oryx lube tanzania
oilcom lubes tanzania
total lubes tanzania
heheh endelea kujipa matumaini😀😀
Mimi ni Mtanzania ila aliyeanzisha ligi na wanaomshabikia kwakweli leo wameingia choo cha kike TZ haiwezi kucompete a Kenya kwenye masuala ya viwanda na ubunifu hasa masuala ya IT na start-ups. You are doing great compared to us ukweli diyo huo.Sore loser. Acha kulia lia na kuruka ruka bila formular. Takwimu nimekupa, zaidi ya hapo jifanyie risechi wewe mwenyewe.
Mimi ni mkei, to be honest wa Tzed mko poa kwenye viwanda now days. Products zenyu Kama Azam energy, whitedent, pipes za ujenzi na nyingine mob zimebamba wasee sana hukuMimi ni Mtanzania ila aliyeanzisha ligi na wanaomshabikia kwakweli leo wameingia choo cha kike TZ haiwezi kucompete a Kenya kwenye masuala ya viwanda na ubunifu hasa masuala ya IT na start-ups. You are doing great compared to us ukweli diyo huo.
[emoji1][emoji1][emoji1] Umechemsha jombaa, hutasikia hata siku moja mkenya akilitumia hilo neno kiholela holela. Eti 'mkei', kei/makei kwa sheng 'old school' inamaanisha p#mb#/map#mb#. [emoji38]Mimi ni mkei, to be honest wa Tzed mko poa kwenye viwanda now days. Products zenyu Kama Azam energy, whitedent, pipes za ujenzi na nyingine mob zimebamba wasee sana huku
[emoji1][emoji1][emoji1] Umechemsha jombaa, hutasikia hata siku moja mkenya akilitumia hilo neno kiholela holela. Eti 'mkei', kei/makei kwa sheng 'old school' inamaanisha p#mb#/map#mb#. [emoji38]