namba yako aliipata wapi?
Jamani kuna dada nawasiliana naye tangu october mwaka jana mpaka leo hajawai kuniona wala cjawah kumwona kwa sura. Anaonyesha shauku kubwa ya kmapenzi juu yangu, anapenda tukutane lakn bado spo tayari kukutana naye. Ana saut nzur tena sana, anafanya mawasiliano nami utafikir nimesha ahd kuwa naye. Ameniteka kiana kwa kweli. Naogopa asje kuwa kituko. Akituma msg nispojb anatuma vocha. Jaman huyu dada inakuwaje? Nawakilisha kwenun wana jf.
Gozo mi skutaki tena ...mbona nakupigia simu yako haipatikani au umebadilisha laini?
wakapime nini ? uzito ama ?
dah.ebwana ndugu yangu nina evidence km mbili za namna hii kuna watu wangu wa karibu yamewatokea haya.mademu km hawa wanakua wabaya mpaka utawakimbia,kuna psychology moja inasema demu mwenye sauti nzuri ktk simu wengi wao ni hovyo naomba ukiprove hili unijulishe.we nenda ukaonane nae wala ucogope ila im sure hutaridhika nae.
wakapime nini ? uzito ama ?
Jamani kuna dada nawasiliana naye tangu october mwaka jana mpaka leo hajawai kuniona wala cjawah kumwona kwa sura. Anaonyesha shauku kubwa ya kmapenzi juu yangu, anapenda tukutane lakn bado spo tayari kukutana naye. Ana saut nzur tena sana, anafanya mawasiliano nami utafikir nimesha ahd kuwa naye. Ameniteka kiana kwa kweli. Naogopa asje kuwa kituko. Akituma msg nispojb anatuma vocha. Jaman huyu dada inakuwaje? Nawakilisha kwenun wana jf.
Jamani kuna dada nawasiliana naye tangu october mwaka jana mpaka leo hajawai kuniona wala cjawah kumwona kwa sura. Anaonyesha shauku kubwa ya kmapenzi juu yangu, anapenda tukutane lakn bado spo tayari kukutana naye. Ana saut nzur tena sana, anafanya mawasiliano nami utafikir nimesha ahd kuwa naye. Ameniteka kiana kwa kweli. Naogopa asje kuwa kituko. Akituma msg nispojb anatuma vocha. Jaman huyu dada inakuwaje? Nawakilisha kwenun wana jf.
mh!!!!
angalia...tutakusahau saa hiiMkuu nikupe namba yangu umwambie aitumie kwa mawasiliano na wewe?ili nije nikupe feedback kama analipa au halipi?
halafu kwa bahati ikaja kwako wewe mr. right. bahati iliyoje?alikosea namba wakati anapiga..