Via sms,calls and email;Dada huyu ananipenda ila mie smjui.

Jamani kuna dada nawasiliana naye tangu october mwaka jana mpaka leo hajawai kuniona wala cjawah kumwona kwa sura. Anaonyesha shauku kubwa ya kmapenzi juu yangu, anapenda tukutane lakn bado spo tayari kukutana naye. Ana saut nzur tena sana, anafanya mawasiliano nami utafikir nimesha ahd kuwa naye. Ameniteka kiana kwa kweli. Naogopa asje kuwa kituko. Akituma msg nispojb anatuma vocha. Jaman huyu dada inakuwaje? Nawakilisha kwenun wana jf.

zali hilo ila angalia isijekuwa ni udananda mkuu ikala kwako..
 
anaishi wapi na wewe unaishi wapi? mna muda gani tangu muanze mawasiliano?
 
"naogopa asije kua kituko" una uhakika gani kua wewe hautoonekana ki2ko?tena c ajabu wewe ndo ukamzidi kwa "uki2ko"
<just saying>
 
mbona nakupigia simu yako haipatikani au umebadilisha laini?
Gozo mi skutaki tena ...
nilikupenda ulivyo Halafu we ukaenda kufanya plastic surgery ...
Nime nuna jumla sasa
 
Madamex, Yameshatokea na watu wamesha umizwa sana na haya Majini

Hatukomi tu
 
dah.ebwana ndugu yangu nina evidence km mbili za namna hii kuna watu wangu wa karibu yamewatokea haya.mademu km hawa wanakua wabaya mpaka utawakimbia,kuna psychology moja inasema demu mwenye sauti nzuri ktk simu wengi wao ni hovyo naomba ukiprove hili unijulishe.we nenda ukaonane nae wala ucogope ila im sure hutaridhika nae.

Mkuu nikupe namba yangu umwambie aitumie kwa mawasiliano na wewe?ili nije nikupe feedback kama analipa au halipi?
 
Jamani kuna dada nawasiliana naye tangu october mwaka jana mpaka leo hajawai kuniona wala cjawah kumwona kwa sura. Anaonyesha shauku kubwa ya kmapenzi juu yangu, anapenda tukutane lakn bado spo tayari kukutana naye. Ana saut nzur tena sana, anafanya mawasiliano nami utafikir nimesha ahd kuwa naye. Ameniteka kiana kwa kweli. Naogopa asje kuwa kituko. Akituma msg nispojb anatuma vocha. Jaman huyu dada inakuwaje? Nawakilisha kwenun wana jf.

kwani mlianza mawasiliano ktk grounds zipi?yani nini kiliwakutanisha hadi kuanza mawasiliano?
 
Jamani kuna dada nawasiliana naye tangu october mwaka jana mpaka leo hajawai kuniona wala cjawah kumwona kwa sura. Anaonyesha shauku kubwa ya kmapenzi juu yangu, anapenda tukutane lakn bado spo tayari kukutana naye. Ana saut nzur tena sana, anafanya mawasiliano nami utafikir nimesha ahd kuwa naye. Ameniteka kiana kwa kweli. Naogopa asje kuwa kituko. Akituma msg nispojb anatuma vocha. Jaman huyu dada inakuwaje? Nawakilisha kwenun wana jf.

hebu weka namba yake hapa nikusaidie..
 
Back
Top Bottom