Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Aisee ngono siku hizi imekuwa overrated kiukweli. How can someone just dare have an intercourse with two or more women at the same time after consuming Viagra and expect northing terrible to happen to them surely?
Leo mida ya asubuhi tumeshuhudia tukio la kushangaza Sana ambapo mwanaume mmoja alipatikana ameaga Dunia baada ya kushiriki tendo la ndoa na wanawake wawili kwa wakati mmoja katika lodge Moja karibu na mtaani ninakoishi.
Taarifa za kuaminika zinasema mwanaume huyo alikuwa amebugia Viagra kwa ajili ya kuongeza nguvu za kiume kabla ya kushiriki tendo na wanawake husika.
Wanawake walijisalimisha kwenye kituo Cha polisi na wakaelezea mkasa mzima.
Binafsi sielewi kwanini ckuiz watu wanapenda Sana kukomoana kwenye Mambo ya kihuni Kama haya. Hivi mwanaume mwenye akili zako timamu utaanzaje tu kukomoana na wanawake zaidi ya mmoja especially kwenye suala la ngono?
Hili Jambo Mimi huwa nalichukulia kuwa la kipumbavu Sana na linaendekezwa na watu wasio na akili tu.
Please my fellow guys let's not overrate this subject of sex to that extent because the repercussions are very dire. Ebu tuacheni kuendekeza ngono zembe ya namna hii na pia tuache kutumia dawa za kusisimua nguvu za kiume.
Most of the time sex is just meant for reaction,so we should not overrate it by investing too much of our efforts/ resources in it.
Wanaume wenzangu, kumridhisha mwanamke kingono Ni shughuli pevu Sana ambayo inahitaji nguvu na ujuzi wa Hali ya juu. Ikija kwenye suala la ndoa hakikisha unashiriki healthy sex wewe na partner wako isiwe Mambo ya kukomoana mpaka mwingine apoteze uhai kimasihara.
I'm sure kila mtu anajielewa when it comes to this matter of intimacy. Tunatofautiana katika viwango vya ustadi na uweze wa kuhimili tendo la ndoa. Wapo wanaoweza kupiga show za kibabe na wapo wengine wenye uwezo wa wastani tu. Na ndio maana Kuna wanaume waliojaliwa tango na wapo wengine wamejaliwa vibamia.
Kwa hiyo Hawa wenye vibamia wapo wanawake wanaoendana nao vizuri Sana na wenye tango Wana counterparts wao wanaowafit vizuri.
Nakumbuka kiss kingine Kuna jamaa alipanga miadi ya kukutana location na mwanamke fulani kwa ajili ya hizi Mambo za kubayolojiana.
Jamaa akajichanganya akameza tembe fulani za kusisimua nguvu za kiume. Cha kushangaza mwanamke aliyeyusha akashindwa kufika eneo la tukio. Jamaa aliteseka Sana maana jogoo wake alipanda mtungi usiku mzima akashindwa kuvumilia akaanza kupiga puli huku anapiga unyemi.
Akamwaga manii yote aliyokuwa nayo Hadi akaanza kutoka na damu nyingi Sana. Picha linaisha jamaa alipatikana asubuhi amekwisha fariki.Inasikitisha Sana kwa Kweli 😥
Wanaume tafadhalini tuache kuendekeza ngono zembe na pia tuache kutumia dawa za kusisimua nguvu za kiume.
Ahsanteni.