Viambata kwa ajili ya kuripooti vituoni walimu.

Viambata kwa ajili ya kuripooti vituoni walimu.

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Tafadhali kwa mwenye uhakika naomba kufahamishwa kwa walimu wa shahada tunapaswa kuwa na viambatanisho gani wakati wa kuripoti.
Ahsanteni
 
Print ile page yenye jina lako la kupangiwa kituo,beba vyeti vya O&A level plus cheti cha kuzaliwa kama unacho,nami nmeelezwa hvyo mkuu
 
Print ile page yenye jina lako la kupangiwa kituo,beba vyeti vya O&A level plus cheti cha kuzaliwa kama unacho,nami nmeelezwa hvyo mkuu

kama una cheti cha ndoa au mtoto na cheti cha chuo au uthibitisho wowote
 
Orignal cert's,kila chert kopi 8,na paspot 8!yana m.f chet cha kuzaliwa kopi nane,cha 6 kopi 8,cha 4 kopi 8,trancript yenye 6 semista risult kopi 8'!kapa diploma au grade a hvyohvyo.
 
Na risiti ya usafiri ulio2mia kwa ajili ya malipo ya usafiri na mizigo.
 
Back
Top Bottom