Rev. Kishoka JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 4,526 Reaction score 1,540 Feb 24, 2008 #1 Wana JF, Naomba mwenye nukuu kamili ya viapo vya wafuatao katika mfumo wa serikali ya Tanzania avibandike hapa. Polisi Usalama wa Taifa Wanajeshi Wabunge Mahakimu/Majaji Mwanasheria Mkuu Mawaziri Waziri Mkuu Raisi Natanguliza shukrani.
Wana JF, Naomba mwenye nukuu kamili ya viapo vya wafuatao katika mfumo wa serikali ya Tanzania avibandike hapa. Polisi Usalama wa Taifa Wanajeshi Wabunge Mahakimu/Majaji Mwanasheria Mkuu Mawaziri Waziri Mkuu Raisi Natanguliza shukrani.
Rev. Kishoka JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 4,526 Reaction score 1,540 Feb 25, 2008 Thread starter #2 Would viapo vya Rais, Waziri Mkuu and Wabunge be on our Katiba? (am just being lazy to read the thing again!)😉
Would viapo vya Rais, Waziri Mkuu and Wabunge be on our Katiba? (am just being lazy to read the thing again!)😉
Rev. Kishoka JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 4,526 Reaction score 1,540 Apr 19, 2008 Thread starter #3 Jamani, Naomba kurudisha tena kwenye mzunguku hii hoja. Je ni nani kati yetu ana nukuu kamili ya viapo vya utii ambavyo watu hula wakati wanaapishwa kwa kazi mbali mbali, hususan hizo nafasi/kazi nilizozitaja hapo juu?
Jamani, Naomba kurudisha tena kwenye mzunguku hii hoja. Je ni nani kati yetu ana nukuu kamili ya viapo vya utii ambavyo watu hula wakati wanaapishwa kwa kazi mbali mbali, hususan hizo nafasi/kazi nilizozitaja hapo juu?