Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Wana JF,
Naomba mwenye nukuu kamili ya viapo vya wafuatao katika mfumo wa serikali ya Tanzania avibandike hapa.
Naomba mwenye nukuu kamili ya viapo vya wafuatao katika mfumo wa serikali ya Tanzania avibandike hapa.
- Polisi
- Usalama wa Taifa
- Wanajeshi
- Wabunge
- Mahakimu/Majaji
- Mwanasheria Mkuu
- Mawaziri
- Waziri Mkuu
- Raisi