Godfrey- denis
Member
- Aug 26, 2022
- 64
- 124
Moja ya swali muhimu la kujiuliza ni: “Nawezaje kuchagua kampuni bora ya kuwekeza?”
Leo tuzungumzie qualitative fundamental factors ambazo ni muhimu sana kwa wawekezaji wa muda mrefu wanaotaka kupata ongezeko la thamani na pia magawio.
Mfano: Ukinunua hisa za CRDB inabidi uelewe kuwa CRDB ni benki na bishara yake kubwa ni kutoa mikopo - hivyo basi hata ukipata taarifa yake ya kifedha ni muhimu kuzingatia ubora wa mikopo.
Mfano: Benki kubwa kama CRDB na NMB peke yao zinashikilia karibu 50% ya mikopo yote nchini, jambo linalowapa nafasi ya kuongoza sokoni.
Mfano: DSE – kila unapouza au kununua hisa, au kila bondi inauzwa, wao hupata sehemu ya mapato. Ni biashara yenye uhakika wa kipato.
Kwa kifupi, usiwekeze kwa bahati nasibu. Chagua kampuni ambazo unaelewa vizuri, zina nafasi kubwa sokoni, rekodi nzuri kifedha, viongozi imara na mtindo wa biashara unaohakikisha mapato ya muda mrefu.

- Elewa Biashara ya Kampuni
Mfano: Ukinunua hisa za CRDB inabidi uelewe kuwa CRDB ni benki na bishara yake kubwa ni kutoa mikopo - hivyo basi hata ukipata taarifa yake ya kifedha ni muhimu kuzingatia ubora wa mikopo.
- Chagua Viongozi wa Sekta husika (Market Leaders)
Mfano: Benki kubwa kama CRDB na NMB peke yao zinashikilia karibu 50% ya mikopo yote nchini, jambo linalowapa nafasi ya kuongoza sokoni.
- Angalia Aina ya Ushindani:
- Rekodi ya Kifedha Thabiti
- Uwiano wa Mali na Madeni:
- Viongozi Bora
- Gharama za Riba (Finance Costs):
- Gharama za Uendeshaji Ndogo:
- Road Toll Business: