ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Pesa ya nchi kuwa na thamani kubwa ukilinganisha na fedha nyingine siyo kigezo cha nchi hiyo au wananchi wake kuwa na uchumi imara. Uchumi imara na jumuishi unaupata kwa kuangalia vitu vingi lkn kilicho chepesi uwezo wa kufanya manunuzi na kula bata.
Kwa mlengo huo, Tanzania tuko mbali sana. Akina Pierre Liquid wapo wengi na maisha yanaendelea.
Michezo mingi inatazwa na hasa mpira. East na central africa hakuna nchi imaweza kujaza watu 60k, kwenye mchezo mmoja, hii ipo dsm pekee.
Uwezo wa watu kujenga makazi yao Tanzania tunaongoza.
Wakenya wanaocheza soka Tanzania wanafurahia na wanalipwa vizuri kuliko watanzania wanaocheza soka nchi nyingine za EAC.
Huyu mkurya wa Kenya Francis Kahata Nyambura kausema ukweli. Wakenya, mtasuburi sana nyie bado ni maskini wa kipato.