Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaonaje maelezo ukiyaweka hapa maana utakuwa umewajibu na wateja wengine wenye swali kama hilo kuliko kuanza kumjibu mtu mmoja mmoja??Utaratibu wa kupata mzigo mkoani upo na unafanyika kwa uaminifu mkubwa njoo 0678096545, or nipe namba yako kwa mawasiliano
Utaratibu Dar es salaam unaletewa mzigo ukipenda hadi ulipo ndio unalipia baada ya kupokea, na wa mkoani unalipia ndio unatumiwa mzigo wako, utalipia hela ya kiatu pamoja na ya kusafirisha ambayo haizidi 5000 kwa kiatu kimoja, pia kwa wale tusioaminiana, unaweza tumia video call mzigo wako ukishafikishwa kwenye kampuni ya basi baada ya kupokelewa na kuandikiwa Risiti ya kusafirisha ndio unalipa, Mnakaribishwaunaonaje maelezo ukiyaweka hapa maana utakuwa umewajibu na wateja wengine wenye swali kama hilo kuliko kuanza kumjibu mtu mmoja mmoja??