Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilicheka sana jana nilipoona hizi picha hasa hiyo ya dogo unaoa lini ? wamiliki wa hiko kiatu wengi wapo humu JF [emoji23]
usiombe wakukute na demu mtaani lazima badae wakuite wakupe husia wa maisha
Sent using Jamii Forums mobile app

unakopi swaga za twitter unaleta huku...duh!Shogaaa wanaume siku hizi hawaeleweki, we tafuta mwenye hela tu View attachment 1407342
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu asubiri tumletee kiatu chake [emoji1][emoji1]mkuu kwani kuna tatizo gani mtu akitoa content social media nyingine ? mbona mimi hua natoa story kwenye vyombo vya habari nakuja kusimulia huku
Sent using Jamii Forums mobile app