INAUZWA Viatu vikali

Tatizo la wajasirimali wa bongo ni kutaka kupata faida ya juuuuu sana kwa wakati mdogo. Hebu angalia bei hivi na bidhaa hizo!

Wakikimbiwa na wateja wanaanza kulialia.
 
Hizo bei ni kwa utawala wa awamu ya NNE sasa wewe unauza bei hiyo hiyo kwenye awamu ya tano? Ngoja nisubiri nione watanunua wangap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…