Pair moja tu ndio unaleta huku? Umeshindwa juwuzia hata washikaji mtaani kwako?Hallow JF habari zenu Natumaini mko sawa
Kama kichwa cha Uzi kinavyosema Viatu Vinauzwa, ni vizuri havina mushkeri yoyote bado ni vipya havijatumika sana, bei ni Tsh 15000 tu ila maelekezo ya maelewano yapo,
Karibuni sana
ni used? hilo ringi la ushanga umechemsha sana kwa kweli hata kama ni kwajili ya kina dada lakini ungeongeza ubunifu zaidi nafikiri
Bei nimeweka, jinsia ni cha kike ni aina ya kimasai, size ni 38 inaonekana kwenye picha hapo kwenye kiatu, mtandao unasumbua sanaDaah ndo ulivyofundishwa hiv namna ya kutoa matangazo?
hujaweka size
hujaweka cha jinsia gani
hujaweka aina
hujaweka picha
Yaan kiufupi hauna art of selling.
Nimekosea watu huku ndo maana nikaja humuPair moja tu ndio unaleta huku? Umeshindwa juwuzia hata washikaji mtaani kwako?
Hakuna shida kabisa ni vizuri sanaWatu kama nyie ni kuwa-ignore tu🚮🚮
Bei maelewano yapo mkuu, havina chochote kile, shida imenipata naona vipo tu ndani, havitumiki si Bora niuzeVina nini hivi mpaka unauza bei ya juu, Isije ikawa vina kitu ...!!
Hakika mkuu...!!Bei maelewano yapo mkuu, havina chochote kile, shida imenipata naona vipo tu ndani, havitumiki si Bora niuze
Ni usedMbona vimetumika, tunavaa mitumba lakin sio mtumba wa kiatu Cha kimasai
Sawa mkuuNikutakie kila la kheri mkuu.
Bado sijapata mteja Hali ni Tete biashara nayo haifanyiki😪