SOLD: Viatu Vinauzwa

SOLD: Viatu Vinauzwa

Status
Not open for further replies.
Hallow JF habari zenu Natumaini mko sawa

Kama kichwa cha Uzi kinavyosema Viatu Vinauzwa, ni vizuri havina mushkeri yoyote bado ni vipya havijatumika sana, bei ni Tsh 15000 tu ila maelekezo ya maelewano yapo,

Karibuni sana
Size no 38
Bei 15000 tu
Jinsia kike
View attachment 3156143
Nahisi umekosea kuongeza 0 moja kwenye hiyo bei uliyoweka. Hivyo jitahidi kurekebisha mapema ili ufanye biashara kwa wakati.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom