Ghost MVP
JF-Expert Member
- May 19, 2022
- 439
- 736
Buti nyeusi za BALENCIAGA anazovaa Mondi zinaenda kwa jina la "ALASKA PUFFER BOOT (men)" amekuwa akizunguk navyo kika kona basi hata Abadilishe rangi tujue Anavyo Vingi basi, yan mwisho wa siku tunaoneka Taifa Tunarudia Viatu.. bei yake ni Dola za Kimarekani 1,325 wmbayo ni TZS Milioni 3.54.
Ni Viatu vizur tunampongeza Msanii wetu kununua kiatu chenye Bei ya Gari Used lakin sasa Anavivaa sana jamn, abadilishe hata mtindo basi.
Ananioa mashaka maana kuna siku aliibiwa Kofia Moja ya Kijana alilalamika Mnoo, akisema ina nguo nyingi, sembuse Tubuti twa milioni twatu.
Mashabiki zake msinikande sasa, tutoe ushauri tu.
Mashabiki zake msinikande sasa, tutoe ushauri tu.