Viatu vya Diamond Platnumz Mpaka Vitaongea mwaka huu

Viatu vya Diamond Platnumz Mpaka Vitaongea mwaka huu

Mimwenyewe nilibahatisha airforce ya milioni moja mtumbani ,,niliingia eBay kucheki Bei nilipigwa na butwaa yaani pikipiki unaitembelea miguuni ,,,hivyo viatu 😀😀 kuvivaa navaaga Mara 2 kwa mwaka,,,na mtumbani nilivinunua 8000
 
Out Fashioned, Can you afford them?
Its not my style,and of course i can buy if i want.
Alafu nipeleke wapi.
Its summer time jua linawaka balaa hayo maviatu ya winter uvae unakua unatembea na oven miguuni.
 
Hizo Buti kweli Kuna watu wameandikiwa Mimi Bure sivai hata unipee Bure sivai
 
Izo ni pairs 3 tofauti mkuu. Imagine ambazo hatuzioni.
images (9).jpeg
images (10).jpeg
Screenshot_20240801-202941.png
 
Another pdidy on the makin,mwandiko kama bata kapita kwenye tope[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom