Viazi aina ya Tigo vinapatikana kwa ajili ya kuuzwa eneo la Suma Secondary, Mbeya

Viazi aina ya Tigo vinapatikana kwa ajili ya kuuzwa eneo la Suma Secondary, Mbeya

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,308
Reaction score
12,812
Wafanyabiashara, wanunuzi na madalali wa viazi, viazi aina ya Tigo vinapatikana kwa ajili ya kuuzwa eneo la Suma Secondary, Rungwe – Mbeya.

  • Aina: Tigo
  • Eneo: Suma Secondary, Rungwe
  • Ukubwa wa shamba: Ekari 5
  • Hali: Viazi vina afya nzuri, ni vikubwa na vina ubora mzuri, kama mnavyoviona kwenye picha.
  • Bei: TSh 50,000 kwa gunia la kilo 100

Kwa mawasiliano na kuangalia shamba: 0767 045 745 – Msimamizi wa Shamba Bi. Asha Mwakajila.

Wenye nia ya kununua kwa jumla au wanaohitaji taarifa zaidi, wasiliana na msimamizi wa shamba kwa namba hiyo mojakwamoja.

Viazi ni kama mnavyoviona pichani — vikubwa na vina afya nzuri. Hapo unajaza Lori la Semi bila wasiwasi

na wachimbaji wapo.
937762.jpg

937730.jpg
Karibu Rungwe! 🥔🌱
 
Back
Top Bottom