N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,308 Reaction score 12,812 Sep 20, 2026 #1 Wafanyabiashara, wanunuzi na madalali wa viazi, viazi aina ya Tigo vinapatikana kwa ajili ya kuuzwa eneo la Suma Secondary, Rungwe – Mbeya. Aina: Tigo Eneo: Suma Secondary, Rungwe Ukubwa wa shamba: Ekari 5 Hali: Viazi vina afya nzuri, ni vikubwa na vina ubora mzuri, kama mnavyoviona kwenye picha. Bei: TSh 50,000 kwa gunia la kilo 100 Kwa mawasiliano na kuangalia shamba: 0767 045 745 – Msimamizi wa Shamba Bi. Asha Mwakajila. Wenye nia ya kununua kwa jumla au wanaohitaji taarifa zaidi, wasiliana na msimamizi wa shamba kwa namba hiyo mojakwamoja. Viazi ni kama mnavyoviona pichani — vikubwa na vina afya nzuri. Hapo unajaza Lori la Semi bila wasiwasi na wachimbaji wapo. Karibu Rungwe! 🥔🌱
Wafanyabiashara, wanunuzi na madalali wa viazi, viazi aina ya Tigo vinapatikana kwa ajili ya kuuzwa eneo la Suma Secondary, Rungwe – Mbeya. Aina: Tigo Eneo: Suma Secondary, Rungwe Ukubwa wa shamba: Ekari 5 Hali: Viazi vina afya nzuri, ni vikubwa na vina ubora mzuri, kama mnavyoviona kwenye picha. Bei: TSh 50,000 kwa gunia la kilo 100 Kwa mawasiliano na kuangalia shamba: 0767 045 745 – Msimamizi wa Shamba Bi. Asha Mwakajila. Wenye nia ya kununua kwa jumla au wanaohitaji taarifa zaidi, wasiliana na msimamizi wa shamba kwa namba hiyo mojakwamoja. Viazi ni kama mnavyoviona pichani — vikubwa na vina afya nzuri. Hapo unajaza Lori la Semi bila wasiwasi na wachimbaji wapo. Karibu Rungwe! 🥔🌱