Viazi mviringo vinapatikana songwe debe kwa 5000

hangakwee

Member
Joined
May 2, 2016
Posts
96
Reaction score
54
Hi..
Ndugu nafanya kazi mbozi mkoa wa songwe, Sasa nimekutana na fursa ya viazi mviringo kwasasa ambapo ni msimu wake, nikaona nishirikishe wadau mchangamkiee fursa
Tuwasiliane kwa namba 0744952984
 
Watu wa dar matapeli niliwahi watumia watu mchele hawakunilipa pesa ila wakati wa kubargain wanajifanya wa aminifu sana tena watu wenyewe kutokea humu JF
Ila mimi si mtu wa Dar ila ni mkazi wa Dar, pia watu hutofautiana
 
Ni kweli lkn huwa wanaanza hivi hivi...
Ila nikwambie kitu dhuluma mbaya sana na huwa inalipwa kwa gharama yoyote Ile either na mtu ulimfanyia ama mtu yeyote yule atalipiza au atakuadhibu ukimfanyia dhuluma.

Hongera Kama hauna tabia hiyo na usijaribu ingawa kwa hizo gunia 20 ni ngumu sana.
 
Hi..
Ndugu nafanya kazi mbozi mkoa wa songwe, Sasa nimekutana na fursa ya viazi mviringo kwasasa ambapo ni msimu wake, nikaona nishirikishe wadau mchangamkiee fursa
Tuwasiliane kwa namba 0744952984
Mhhh kazi kwelikweli ndo bei au soko hamna
 
Unatumaje mzigo MTU humjui
Issue ni uaminifu tatizo uaminifu watu haupo Siku hizi Kuna baadhi mimi nimefanyanao biashara hawanijui na hatujawahi onana ila nikakamilisha kile walichoniagiza kiroho Safi...

Ila huyo jamaa hizo gunia 20 hawezi pelekewa then gharama alipie baadae Yan mwenye mzigo atoe mzigo wake Bure, atoe pesa ya usafiri then a subiri mzigo ufike ndio alipwe

Afadhali mm mchele ilikuwa debe tano mara 2 mara gunia 5 lakini nashukuru mungu nimelicover though niliyumba kimtindo
 
Pole mkuu Dar kila watu 10 unaokutana nao 9 ni matapeli
 
Watajua wao, kwani huo mchele umewafikisha wapi wamekuwa Kama Bill gates au Mo...

Ila watu watambue dhuluma mbaya Kama matokeo ya udhuluma hutapata Leo au kesho basi utapata kesho kutwa.

Back
Top Bottom