MmmmhUnaweza kunitumia magunia 20 Dsm, mzigo nikiupokea nakutumia pesa yako
Vipi kunukia au utam wa dili nono!Mmmmh
JF ina mamboUnaweza kunitumia magunia 20 Dsm, mzigo nikiupokea nakutumia pesa yako
Watu wa dar matapeli niliwahi watumia watu mchele hawakunilipa pesa ila wakati wa kubargain wanajifanya wa aminifu sana tena watu wenyewe kutokea humu JFUnaweza kunitumia magunia 20 Dsm, mzigo nikiupokea nakutumia pesa yako
Ila mimi si mtu wa Dar ila ni mkazi wa Dar, pia watu hutofautianaWatu wa dar matapeli niliwahi watumia watu mchele hawakunilipa pesa ila wakati wa kubargain wanajifanya wa aminifu sana tena watu wenyewe kutokea humu JF
Hapa ndo mnapofeli wasukumaWatu wa dar matapeli niliwahi watumia watu mchele hawakunilipa pesa ila wakati wa kubargain wanajifanya wa aminifu sana tena watu wenyewe kutokea humu JF
Ni kweli lkn huwa wanaanza hivi hivi...Ila mimi si mtu wa Dar ila ni mkazi wa Dar, pia watu hutofautiana
Sawa wacha wasukuma sie tufeli baki na pesa yako ni baki na Mali yanguHapa ndo mnapofeli wasukuma
Unatumaje mzigo MTU humjuiSawa wacha wasukuma sie tufeli baki na pesa yako ni baki na Mali yangu
Mhhh kazi kwelikweli ndo bei au soko hamnaHi..
Ndugu nafanya kazi mbozi mkoa wa songwe, Sasa nimekutana na fursa ya viazi mviringo kwasasa ambapo ni msimu wake, nikaona nishirikishe wadau mchangamkiee fursa
Tuwasiliane kwa namba 0744952984
Issue ni uaminifu tatizo uaminifu watu haupo Siku hizi Kuna baadhi mimi nimefanyanao biashara hawanijui na hatujawahi onana ila nikakamilisha kile walichoniagiza kiroho Safi...Unatumaje mzigo MTU humjui
Pole mkuu Dar kila watu 10 unaokutana nao 9 ni matapeliIssue ni uaminifu tatizo uaminifu watu haupo Siku hizi Kuna baadhi mimi nimefanyanao biashara hawanijui na hatujawahi onana ila nikakamilisha kile walichoniagiza kiroho Safi...
Ila huyo jamaa hizo gunia 20 hawezi pelekewa then gharama alipie baadae Yan mwenye mzigo atoe mzigo wake Bure, atoe pesa ya usafiri then a subiri mzigo ufike ndio alipwe
Afadhali mm mchele ilikuwa debe tano mara 2 mara gunia 5 lakini nashukuru mungu nimelicover though niliyumba kimtindo
Pole mkuu Dar kila watu 10 unaokutana nao 9 ni matapeli