Hehehe nasubiri vya mke wangu labda nitavipenda,viazi vitamu sivipendi kwa sababu ukila ni kama havikai vizuri tumboni,yaani kama imeganda tumboni vile
Viazi vitamu hata vipikwe vipi huwa sivipendi
Asante kwa recipe, vyaonekana vitamu ile mbaya yabidi kuvipika kwa mtindo huo
Mambo ya futari hayo.
Kuna ivo vya sukari na nazi na iliki. Lkn pia waweza pika vya chumvi kwa nyama au utumbo kama ndizi mbichi vile. Vitamuje
Hehehe nasubiri vya mke wangu labda nitavipenda,viazi vitamu sivipendi kwa sababu ukila ni kama havikai vizuri tumboni,yaani kama imeganda tumboni vile