Hivi umeshawahi kujaribu chipsi za viazi vitamu Kongosho? Ni nzuri kweli, tengeneza na mayoinnaise sauce.
Kuna kichobingo kiko masaki, kinaitwa black tomato; hebu ingia google map, ukapate sample.
Hivi umeshawahi kujaribu chipsi za viazi vitamu Kongosho? Ni nzuri kweli, tengeneza na mayoinnaise sauce.
Kuna kichobingo kiko masaki, kinaitwa black tomato; hebu ingia google map, ukapate sample.
ndio unaweza kuviponda na vikapunguza kiungulia, changanya na maboga ponda weka tui la nazi au maziwa, usisahau iliki kidogo inafanya iwe na ladha ya kipekee.........ni tamu sana na chakula nzuri hasa mwezi wa ramadhani
yes nazijua, tena nlifundishwa na baba yangu. Ni tamu, tena kama.wataka vya kunywea chai unaweka na sukari(msukuma na sukari kama mmasai na samli)
True, nimechemsha na chumvi kidogo.
Vilipoiva nikachuja maji yote, nikaongeza maziwa na siagi, black pape. Nikaacha vikachemka then nikaponda, nkaingeza mayo kidogo then tayari kwa kuliwa.
Msosi mtamu, simple and cheap.
Plus kuku wa nyanya ya kibati,;saafi.
he he he, huo sio umang'ati kweli?
Sasa hivi ni msimu wa ugali tembele na bamia, nikukaribishe?