Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Kuna mshikaji alikuwa na mke wake kapita nyuma ya Tanganyika Packers pale Kawe anadai ilikuwa mida ya saa moja usiku katoka beach, kakutana na jemba tatu zimeshiba zikamsaula kila kitu.
Na mfukoni alikuwa na elfu sabini ile wanamruhusu ondoka, eti wanamuuliza nauli mnayo? Wakamtoa elfu tano katika hela zake vitu vingine vinahitaji moyo sana kuvipokea.
Sema ukiwa na wife kuwadindia ujipange maana bila hivyo anabakwa shahidi mwenyewe. Kule Kawe hakufai kabisa ule mpango wa Mama kuweka bonge la Arena pale ningekuwa mshauri ningelipitisha haraka sana.
Mnaoenda kula bata Kawe weekend kuwa makini sana. Wakazi wa Kawe nanyi tafuteni kazi ukabaji sio kabisa.