DOKEZO Vibaka na mateja wanatapeli watu karibu kabisa na kituo kikuu cha Polisi Central Arusha hii ni aibu sana

DOKEZO Vibaka na mateja wanatapeli watu karibu kabisa na kituo kikuu cha Polisi Central Arusha hii ni aibu sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ndio hicho hicho kimsitu hapo kuna njia inatokezea shule ya msingi Kaloleni
Huo mchezo wa kutapeli watu hapo uko Enzo na enzi. Hao jamaa wanakusoma kwanza usoni wanajua kabisa wewe ni mgeni maeneo hayo na pia uelewa wako ni mdogo sana. So wanakutisha kama vile umefanya makosa ya kupita hicho kinjia au umekojoa pasiporuhusiwa ili wakuchomoe mpunga.

Wewe walikuchomoa kiasi gani Mkuu?
 
Kwani katika iko kimsitu hakuna mabango ya onyo yanayokataza kukatisha katika ilo eneo?
Kuna vinjia vya watembea kwa nguu, chocho kutokea shule ya msingi, hii njia inaamba amba na bonde la huo msitu, ni shortcut muhimu sana
 
Bob Marley alishasema kwenye baadhi ya nyimbozake

Ukizibiwa mlango mmoja mungu hufungua mwingine

Mmewafukuza barabarani hela zakusafishia viatu watoe wapi
 
Pale karibu na shule ya msingi naura ni jirani na chaka fulani miti mingi wale jamaa wanaolinda lile eneo 😁😁😁 kuna mwamba mmoja ni mfupi analinda pia, Dah kitambo sana.
 
Back
Top Bottom