Huo mchezo wa kutapeli watu hapo uko Enzo na enzi. Hao jamaa wanakusoma kwanza usoni wanajua kabisa wewe ni mgeni maeneo hayo na pia uelewa wako ni mdogo sana. So wanakutisha kama vile umefanya makosa ya kupita hicho kinjia au umekojoa pasiporuhusiwa ili wakuchomoe mpunga.
Pale karibu na shule ya msingi naura ni jirani na chaka fulani miti mingi wale jamaa wanaolinda lile eneo πππ kuna mwamba mmoja ni mfupi analinda pia, Dah kitambo sana.