GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Askari wa Barabarani ( Traffic Police ) Mmoja huko nchini Kenya amejikuta akiibiwa Simu kwa 'Kuchomolewa' na Kibaka wakati akiwa anaongoza Magari.
Nimewaonya Vibaka wa Bongo ( Tanzania ) nikiwa najua kuwa 'Matrafiki' wengi wa Tanzania huwa nakutana nao sana kwenye Kambi za Mabondia na Beach wakijifua kwa Ndondi na Kung Fu hivyo nina uhakika wakiibiwa Simu kama ilivyomtokea huyu wa Kenya wanaweza 'Wakaua' vibaya sana.