Vibaka/wahuni wa Arusha sio poa

Vibaka/wahuni wa Arusha sio poa

Flamegood

Senior Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
129
Reaction score
293
Habari wana JF,

Mimi ni mzaliwa wa Arusha tena mjini(manispaa) Ungalimited, nimekuwa pale nakamaliza elimu yangu yote hadi advance mwaka 2017

Nimeshuhudia vibaka wengi wakiwaliza watu mali zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani sio poa, majamaa wanahitaji certficate of crime' maana wana ujuzi sana katika sanaa hiyo.

Sasa bwana, kuna siku nilijipitisha mitaa ya Matejoo, me kipindi hicho nilikuwa sipoi maana nilikuwa bonge la bishoo tena ukizingatia sina majukumu yoyote zaid ya kusoma. Hivyo pesa zangu zote za pocket money nilizopewa na wazazi ziliishia kwenye LOOKING (Mavazi na Urembo)

Nakumbuka Matejoo nilikuwa naenda kuwatembelea wanangu niliosoma nao basi nikawa nadunda dunda kama tenesi na mwendo wa maringo ukicheki shingo kafa Mjusi (vyeni vya kutosha).

Basi nikawakuwa majamaa wamejibanza chocho flani hivi wanapata vitu vyao(mimoshi tu) nilisita kidogo nikataka nibadili njia kwa kuwa nilijua tuu kwa jinsi nilivyokuwa lazima wangenitamani 'Na vile majamaa hawapendi masharobaro mh', ile nataka kubadilisha njia nikaaikia "OYAAA VIPLO BABUU NJOO KWA HUKUUUU" niliposikia hivyo nikajua mh' tayari. Ila mawazo yakanijia kwamba nisiende bali nikimbie kwa sababu iwe isiwe hawa jamaa nikienda waliponiita hakika wataniacha uchi.

Bwana bwana, kukimbia ndipo tatizo lilipoanzia maana majamaa waliunga na mimi, ilibidi nielekee upande wenye watu wengi(sokoni) labda pengine majamaa wataloose mind lakini wapi! Tena nilipofika pale sokoni ndipo waliponivaa tena wakiongea mambo siyaelewe.

Wahuni;"TWENDE NYUMBANI UKANYWE DAWA TWENDEEEEE

Mimi: [emoji15][emoji15][emoji15]DAWA?

Wahuni: EEEEEH RASHID TWENDE UKANYWE DAWAAA (majamaa walikuwa wakiongea kwa sauti na vurugu wakinivuta kunibeba ili waondoke na mimi huku watu wakishangaa na kushindwa kuelewa nini kinachoendelea pale.

Watu: NI NINI JAMANIII? HE! NI MWIZI AU JAMANI MTAMUUMIZA (ni sauti za watu walikuwa wakiulizana wakati mimi nikijaribu kujitetea kutoka mikononi mwa jamaa) ndipo mmama mmoja mwenye hekima alipojitosa pale kisha akajaribukuwauzuia wale jamaa kwa kuwauliza nini tatizo.

Wahuni:amna tatizo mamalai ila huyu ni mdogo wetu huwa ana tatizo la kiakili ndo tunamuondoa huku sokoni asije akaleta vurugu ili tumpeleke nyumbani akameze dawa zake za kutuliza kichaa.

Mama: Ahaaaa, kumbeee(mimi niliposikia mama ameridhika na majibu yale ndipo nilipoamua kujaribu kujitetea tena kwa nguvu zote "AAAAAAAH HAWA JAMAA NI WAONGO MAMA WANATAKA WANIIBIE TUU"

Wahuni: Si unaona mamalai huyu kijana akili zake zishaanza kumuovertake sasa sisi tumuibie nini mdogo wetu

mama;hahaha basi muwaisheni.

Dah! Nakumbuka baada ya yule mama kutoa lile jibu ndipo majamaa walinibeba kwa nguvu zote kuelekea maskani yao, mimi nilijua tuu kinachoenda kunitokea ila majamaa walinibana kiasi cha kukata tamaa. Dah! Nakumbuka hii siku niliondoka na ngeu ya uso tena nikiwa na boxa.

Lengo la huu uzi ni kutaka kufahamu ni nani mwingine alishawahi kubananishwa na vibaka A-TOWN?

Naitwa LASCOO, FLAMEGOOD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wizi gani huo wa kishamba mpaka mkimbizanee na kubebana bebana
mwizi wa k/koo anakupiga kikumbo akikuombaa samahani ujue kashachukua mali muda, yani unaibiwa kama miujizaa hivi

nakumbuka nipo kichekbob naenda zangu karume kuchukua buti kali, beli na mazaga mengine ya mtumba, nikapita zangu ka/koo
nilikua natembea vizuri tu kichwani najua apa kuna wezi na degree zao, basi kidogo najipapasa mfukoni nipoweka simu😂😂😂
daaah nikapishana na jamaa mmoja huyo akanitegea mguu nikawa kama nimejikwaa hivi kidogo, jamaa akanishika mkono alafu akanambia kuwa makini dogo. Ilikuwa ni kitendo cha sekunde kadhaa tu, nilivyopiga hatua kama nne baada ya kujikwaa nikajishika tena mfukonii 😂😂😂 daah washachukua malii ndan ya sekunde chache tu! simu na ela yangu ya buti na beli 😂😂😂
nilipiga mguu kutoka k/koo mpaka tandika njia nikanywa na maji ya kandolo hahaha
majamaa sijui wanatumiaga dawa?
yani kama uchawi dakika zero tu ushakombewa
 
wizi gani huo wa kishamba mpaka mkimbizanee na kubebana bebana
mwizi wa k/koo anakupiga kikumbo akikuombaa samahani ujue kashachukua mali muda, yani unaibiwa kama miujizaa hivi

nakumbuka nipo kichekbob naenda zangu karume kuchukua buti kali, beli na mazaga mengine ya mtumba, nikapita zangu ka/koo
nilikua natembea vizuri tu kichwani najua apa kuna wezi na degree zao, basi kidogo najipapasa mfukoni nipoweka simu[emoji23][emoji23][emoji23]
daaah nikapishana na jamaa mmoja huyo akanitegea mguu nikawa kama nimejikwaa hivi kidogo, jamaa akanishika mkono alafu akanambia kuwa makini dogo. Ilikuwa ni kitendo cha sekunde kadhaa tu, nilivyopiga hatua kama nne baada ya kujikwaa nikajishika tena mfukonii [emoji23][emoji23][emoji23] daah washachukua malii ndan ya sekunde chache tu! simu na ela yangu ya buti na beli [emoji23][emoji23][emoji23]

Haha,hatari sana,tuna story inafanana .
 
😂😂😂😂😂😂 hii ndio chugastan bablai karibu dingiiih
 
Yaani we acha tu sijui wanatumia dawa gani waliniibia infinix note 7 ipo mfukoni hivihivi mpka naogopa kwenda kkoo na simu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Habari wana JF,

Mimi ni mzaliwa wa Arusha tena mjini(manispaa) Ungalimited, nimekuwa pale nakamaliza elimu yangu yote hadi advance mwaka 2017

Nimeshuhudia vibaka wengi wakiwaliza watu mali zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani sio poa, majamaa wanahitaji certficate of crime' maana wana ujuzi sana katika sanaa hiyo.

Sasa bwana, kuna siku nilijipitisha mitaa ya Matejoo, me kipindi hicho nilikuwa sipoi maana nilikuwa bonge la bishoo tena ukizingatia sina majukumu yoyote zaid ya kusoma. Hivyo pesa zangu zote za pocket money nilizopewa na wazazi ziliishia kwenye LOOKING (Mavazi na Urembo)

Nakumbuka Matejoo nilikuwa naenda kuwatembelea wanangu niliosoma nao basi nikawa nadunda dunda kama tenesi na mwendo wa maringo ukicheki shingo kafa Mjusi (vyeni vya kutosha).

Basi nikawakuwa majamaa wamejibanza chocho flani hivi wanapata vitu vyao(mimoshi tu) nilisita kidogo nikataka nibadili njia kwa kuwa nilijua tuu kwa jinsi nilivyokuwa lazima wangenitamani 'Na vile majamaa hawapendi masharobaro mh', ile nataka kubadilisha njia nikaaikia "OYAAA VIPLO BABUU NJOO KWA HUKUUUU" niliposikia hivyo nikajua mh' tayari. Ila mawazo yakanijia kwamba nisiende bali nikimbie kwa sababu iwe isiwe hawa jamaa nikienda waliponiita hakika wataniacha uchi.

Bwana bwana, kukimbia ndipo tatizo lilipoanzia maana majamaa waliunga na mimi, ilibidi nielekee upande wenye watu wengi(sokoni) labda pengine majamaa wataloose mind lakini wapi! Tena nilipofika pale sokoni ndipo waliponivaa tena wakiongea mambo siyaelewe.

Wahuni;"TWENDE NYUMBANI UKANYWE DAWA TWENDEEEEE

Mimi: [emoji15][emoji15][emoji15]DAWA?

Wahuni: EEEEEH RASHID TWENDE UKANYWE DAWAAA (majamaa walikuwa wakiongea kwa sauti na vurugu wakinivuta kunibeba ili waondoke na mimi huku watu wakishangaa na kushindwa kuelewa nini kinachoendelea pale.

Watu: NI NINI JAMANIII? HE! NI MWIZI AU JAMANI MTAMUUMIZA (ni sauti za watu walikuwa wakiulizana wakati mimi nikijaribu kujitetea kutoka mikononi mwa jamaa) ndipo mmama mmoja mwenye hekima alipojitosa pale kisha akajaribukuwauzuia wale jamaa kwa kuwauliza nini tatizo.

Wahuni:amna tatizo mamalai ila huyu ni mdogo wetu huwa ana tatizo la kiakili ndo tunamuondoa huku sokoni asije akaleta vurugu ili tumpeleke nyumbani akameze dawa zake za kutuliza kichaa.

Mama: Ahaaaa, kumbeee(mimi niliposikia mama ameridhika na majibu yale ndipo nilipoamua kujaribu kujitetea tena kwa nguvu zote "AAAAAAAH HAWA JAMAA NI WAONGO MAMA WANATAKA WANIIBIE TUU"

Wahuni: Si unaona mamalai huyu kijana akili zake zishaanza kumuovertake sasa sisi tumuibie nini mdogo wetu

mama;hahaha basi muwaisheni.

Dah! Nakumbuka baada ya yule mama kutoa lile jibu ndipo majamaa walinibeba kwa nguvu zote kuelekea maskani yao, mimi nilijua tuu kinachoenda kunitokea ila majamaa walinibana kiasi cha kukata tamaa. Dah! Nakumbuka hii siku niliondoka na ngeu ya uso tena nikiwa na boxa.

Lengo la huu uzi ni kutaka kufahamu ni nani mwingine alishawahi kubananishwa na vibaka A-TOWN?

Naitwa LASCOO, FLAMEGOOD

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninachojua Arusha kuna mashoga na baridi tu
 
Next time wataishia kwenye mikono mibaya, wizi na uporaji sio mambo ya kushadadia ukikumbwa unajiona mjinga wa mwisho na bwege 😂😂
 
Pole sana...

Nawaza tu hapa, hivi wezi wa Tarime hua wanaiba kwa style gani?
 
Back
Top Bottom