uvccm wengi sana zile Buku 7 zimekata sasa wamehamia kwenye Loba ya MbaoNi hatari sana roba za mbao zimerudi kwa kasi ya bombadia
Kwani huyo amesemewa na media? Si ameshuhudia mwenyewe. Kibaka unasubiri gazeti liripoti?Vibaka wapo toka magu yupo sema media zilikua hazisemi,bodaboda zimeporwa sana,wadada wameibiwa pochi na wezi wanaotumia bodaboda sana
Vibaka wapo toka magu yupo sema media zilikua hazisemi,bodaboda zimeporwa sana,wadada wameibiwa pochi na wezi wanaotumia bodaboda sana
Wakija kwako usinung'unikeWacha WARUDI WAJITAFUTIE RIDHIKI