Vibaka wamerudi mtaani kwa wingi

Vibaka wamerudi mtaani kwa wingi

Hao polisi wana mtandao nao hao vibaka, ushuhuda ulisikika ukisema, "...wakitukamata tunawamegea wanatuachia..."
Sasa solutuon nini??Tunaoumia ni sisi raia mali zetu na maisha yanakuwa ya shaka shaka
 
Naomba Jeshi la Polisi hasa mitaani mje kusaidia maana vibaka wamerudi kwa wingi sana. Hii sio siasa ni reality kabisa na siandiki kwa mihemuko!

Kuna kipindi tulianza kulala milango wazi lakini kwa sasa wanakata mpaka madirisha
Ccm hoyeeeee
 
Back
Top Bottom