P paschal Burra JF-Expert Member Joined Jul 1, 2021 Posts 374 Reaction score 332 Nov 10, 2021 #41 sheiza said: Kwani huyo amesemewa na media? Si ameshuhudia mwenyewe. Kibaka unasubiri gazeti liripoti? Click to expand... Umemjibu vizuri huyo nyangau
sheiza said: Kwani huyo amesemewa na media? Si ameshuhudia mwenyewe. Kibaka unasubiri gazeti liripoti? Click to expand... Umemjibu vizuri huyo nyangau
Bururu JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 877 Reaction score 584 Nov 11, 2021 Thread starter #42 Faana said: Hao polisi wana mtandao nao hao vibaka, ushuhuda ulisikika ukisema, "...wakitukamata tunawamegea wanatuachia..." Click to expand... Sasa solutuon nini??Tunaoumia ni sisi raia mali zetu na maisha yanakuwa ya shaka shaka
Faana said: Hao polisi wana mtandao nao hao vibaka, ushuhuda ulisikika ukisema, "...wakitukamata tunawamegea wanatuachia..." Click to expand... Sasa solutuon nini??Tunaoumia ni sisi raia mali zetu na maisha yanakuwa ya shaka shaka
Havizya JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 499 Reaction score 702 Nov 11, 2021 #43 Bururu said: Naomba Jeshi la Polisi hasa mitaani mje kusaidia maana vibaka wamerudi kwa wingi sana. Hii sio siasa ni reality kabisa na siandiki kwa mihemuko! Kuna kipindi tulianza kulala milango wazi lakini kwa sasa wanakata mpaka madirisha Click to expand... Ccm hoyeeeee
Bururu said: Naomba Jeshi la Polisi hasa mitaani mje kusaidia maana vibaka wamerudi kwa wingi sana. Hii sio siasa ni reality kabisa na siandiki kwa mihemuko! Kuna kipindi tulianza kulala milango wazi lakini kwa sasa wanakata mpaka madirisha Click to expand... Ccm hoyeeeee
4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 8,406 Reaction score 9,619 Nov 11, 2021 #44 Jorojik said: Weka ushahidi. Usichafue jeshi la Sirro kuwa limeshindwa kazi. Click to expand... Mtoa mada yupo sahii Sana, mtaani kwangu ndani ya week MOJA wamevunja Mara mbili
Jorojik said: Weka ushahidi. Usichafue jeshi la Sirro kuwa limeshindwa kazi. Click to expand... Mtoa mada yupo sahii Sana, mtaani kwangu ndani ya week MOJA wamevunja Mara mbili