Usalama wenu upo mikononi mwenu ACHENI kulia Lia chukueni hatua. People'sMatukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya.
Ndani ya mwezi mmoja kuna watu wawili wamekatwa mapanga na vibaka wanaotumia bodaboda. Matukio haya yote yanahusisha wasichana, ambapo mmoja ilikuwa ni saa 12 jioni anatoka kazini kurudi nyumbani na tukio lingine limetokea wiki iliyopita saa 1 asubuhi mdada mwingine akiwa anaenda kazini.
Kinachofanyika kinasikitisha sana. Vijana hawa huja na boda wakiwa wamepakiana, na mara nyingi huendesha kwa kasi huku wakimpita mhusika kwenda mbele kukagua kama kuna watu, wakiona hakuna watu hurudi kwa kasi tena na kutoa panga kisha huanza kukata sehemu yoyote wayaoona inafaa.
Kwa visa hivi viwili, mmoja alikatwa taya nusu lidondoke na mwingine kakatwa mkono. Na baada ya kufanya hivi hubeba simu/mkoba wake na kutokomea nao kusikojulikana.
Kwenye tukio la wiki iliyopa, baada ya kukata mkono wa huyo dada waliendesha boda yao ya kasi sana kuelekea Maeneo ya Kimara Bucha huku wakifukuzwa na watu lakini bahati mbaya kutokana na ujenzi wa barabara unaoendeelea litokea gari katikati likaziba njia wakawa wamenusurika vinginevyo wangeuawa. Kumbuka, hii ilikuwa ni saa 1 asubuhi.
Kwasasa wananchi tumeanza kujilinda, tunaomba mamlaka za ulinzi zifike eneo hili kuimarisha ulinzi. Vinginevyo mkisikia tumeua hawa vibaka msije kutusumbua.
Aiseee hii Kitu hadi Goba pia imeanza kujitokeza hasa Alfajiri. Wale wanaotoka Majumbani Asubuhi sana bado kagiza kanachungulia ndio wanaipata fresh. Juzi amenusurika Mtu ambaye namfahamu kabisaaa na jana yake mwingine naye alikuwa amepigwa panga maeneo hayohayo ya barabara ya Mtaa ya kuelekea Shule ya Living MindsMatukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya.
Ndani ya mwezi mmoja kuna watu wawili wamekatwa mapanga na vibaka wanaotumia bodaboda. Matukio haya yote yanahusisha wasichana, ambapo mmoja ilikuwa ni saa 12 jioni anatoka kazini kurudi nyumbani na tukio lingine limetokea wiki iliyopita saa 1 asubuhi mdada mwingine akiwa anaenda kazini.
Kinachofanyika kinasikitisha sana. Vijana hawa huja na boda wakiwa wamepakiana, na mara nyingi huendesha kwa kasi huku wakimpita mhusika kwenda mbele kukagua kama kuna watu, wakiona hakuna watu hurudi kwa kasi tena na kutoa panga kisha huanza kukata sehemu yoyote wayaoona inafaa.
Kwa visa hivi viwili, mmoja alikatwa taya nusu lidondoke na mwingine kakatwa mkono. Na baada ya kufanya hivi hubeba simu/mkoba wake na kutokomea nao kusikojulikana.
Kwenye tukio la wiki iliyopa, baada ya kukata mkono wa huyo dada waliendesha boda yao ya kasi sana kuelekea Maeneo ya Kimara Bucha huku wakifukuzwa na watu lakini bahati mbaya kutokana na ujenzi wa barabara unaoendeelea litokea gari katikati likaziba njia wakawa wamenusurika vinginevyo wangeuawa. Kumbuka, hii ilikuwa ni saa 1 asubuhi.
Kwasasa wananchi tumeanza kujilinda, tunaomba mamlaka za ulinzi zifike eneo hili kuimarisha ulinzi. Vinginevyo mkisikia tumeua hawa vibaka msije kutusumbua.
Juzi maeneo ya IPTL tegeta wameuliwa vibaka wawili,dawa ni kuwaua tu hao mbwa!Matukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya.
Ndani ya mwezi mmoja kuna watu wawili wamekatwa mapanga na vibaka wanaotumia bodaboda. Matukio haya yote yanahusisha wasichana, ambapo mmoja ilikuwa ni saa 12 jioni anatoka kazini kurudi nyumbani na tukio lingine limetokea wiki iliyopita saa 1 asubuhi mdada mwingine akiwa anaenda kazini.
Kinachofanyika kinasikitisha sana. Vijana hawa huja na boda wakiwa wamepakiana, na mara nyingi huendesha kwa kasi huku wakimpita mhusika kwenda mbele kukagua kama kuna watu, wakiona hakuna watu hurudi kwa kasi tena na kutoa panga kisha huanza kukata sehemu yoyote wayaoona inafaa.
Kwa visa hivi viwili, mmoja alikatwa taya nusu lidondoke na mwingine kakatwa mkono. Na baada ya kufanya hivi hubeba simu/mkoba wake na kutokomea nao kusikojulikana.
Kwenye tukio la wiki iliyopa, baada ya kukata mkono wa huyo dada waliendesha boda yao ya kasi sana kuelekea Maeneo ya Kimara Bucha huku wakifukuzwa na watu lakini bahati mbaya kutokana na ujenzi wa barabara unaoendeelea litokea gari katikati likaziba njia wakawa wamenusurika vinginevyo wangeuawa. Kumbuka, hii ilikuwa ni saa 1 asubuhi.
Kwasasa wananchi tumeanza kujilinda, tunaomba mamlaka za ulinzi zifike eneo hili kuimarisha ulinzi. Vinginevyo mkisikia tumeua hawa vibaka msije kutusumbua.
Basi hii issue ipo DSM nzimaAiseee hii Kitu hadi Goba pia imeanza kujitokeza hasa Alfajiri. Wale wanaotoka Majumbani Asubuhi sana bado kagiza kanachungulia ndio wanaipata fresh. Juzi amenusurika Mtu ambaye namfahamu kabisaaa na jana yake mwingine naye alikuwa amepigwa panga maeneo hayohayo ya barabara ya Mtaa ya kuelekea Shule ya Living Minds
Tatizo polisi wanawatetea,tukiwaua wanatupa kesi ya kujichukulia sheria mkononi,wakitujeruhi hawawakamati na wakikamatwa mahakama inawaacha huruMkiwakata muwachome mishikaki
Niwapongeze kwa hatua mliyochukua lakini kuita serikali iwafanyie ulinzi si wazo jema Wazo jema NI PANGA KWA PANGA WEKENI MTEGO KAMA MIKOANI watakuwa na HESHIMA na ikitokea mmeshika apelekwe kuzimu harakaMatukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya.
Ndani ya mwezi mmoja kuna watu wawili wamekatwa mapanga na vibaka wanaotumia bodaboda. Matukio haya yote yanahusisha wasichana, ambapo mmoja ilikuwa ni saa 12 jioni anatoka kazini kurudi nyumbani na tukio lingine limetokea wiki iliyopita saa 1 asubuhi mdada mwingine akiwa anaenda kazini.
Kinachofanyika kinasikitisha sana. Vijana hawa huja na boda wakiwa wamepakiana, na mara nyingi huendesha kwa kasi huku wakimpita mhusika kwenda mbele kukagua kama kuna watu, wakiona hakuna watu hurudi kwa kasi tena na kutoa panga kisha huanza kukata sehemu yoyote wayaoona inafaa.
Kwa visa hivi viwili, mmoja alikatwa taya nusu lidondoke na mwingine kakatwa mkono. Na baada ya kufanya hivi hubeba simu/mkoba wake na kutokomea nao kusikojulikana.
Kwenye tukio la wiki iliyopa, baada ya kukata mkono wa huyo dada waliendesha boda yao ya kasi sana kuelekea Maeneo ya Kimara Bucha huku wakifukuzwa na watu lakini bahati mbaya kutokana na ujenzi wa barabara unaoendeelea litokea gari katikati likaziba njia wakawa wamenusurika vinginevyo wangeuawa. Kumbuka, hii ilikuwa ni saa 1 asubuhi.
Kwasasa wananchi tumeanza kujilinda, tunaomba mamlaka za ulinzi zifike eneo hili kuimarisha ulinzi. Vinginevyo mkisikia tumeua hawa vibaka msije kutusumbua.
Binafsi juzi kati hapa Kuna vibaka watatu wamewakaba wadogo zangu wawili(wa kike) wakawapiga,wakawapora pesa za mauzo yote ya dukani na simu ya mkononi( smart phone). ktk hao vibaka mmoja walimtambua/ tumemtambua maana muda mwingi alikuwa akionekana pale mtaani kwetu.Matukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya.
Ndani ya mwezi mmoja kuna watu wawili wamekatwa mapanga na vibaka wanaotumia bodaboda. Matukio haya yote yanahusisha wasichana, ambapo mmoja ilikuwa ni saa 12 jioni anatoka kazini kurudi nyumbani na tukio lingine limetokea wiki iliyopita saa 1 asubuhi mdada mwingine akiwa anaenda kazini.
Kinachofanyika kinasikitisha sana. Vijana hawa huja na boda wakiwa wamepakiana, na mara nyingi huendesha kwa kasi huku wakimpita mhusika kwenda mbele kukagua kama kuna watu, wakiona hakuna watu hurudi kwa kasi tena na kutoa panga kisha huanza kukata sehemu yoyote wayaoona inafaa.
Kwa visa hivi viwili, mmoja alikatwa taya nusu lidondoke na mwingine kakatwa mkono. Na baada ya kufanya hivi hubeba simu/mkoba wake na kutokomea nao kusikojulikana.
Kwenye tukio la wiki iliyopa, baada ya kukata mkono wa huyo dada waliendesha boda yao ya kasi sana kuelekea Maeneo ya Kimara Bucha huku wakifukuzwa na watu lakini bahati mbaya kutokana na ujenzi wa barabara unaoendeelea litokea gari katikati likaziba njia wakawa wamenusurika vinginevyo wangeuawa. Kumbuka, hii ilikuwa ni saa 1 asubuhi.
Kwasasa wananchi tumeanza kujilinda, tunaomba mamlaka za ulinzi zifike eneo hili kuimarisha ulinzi. Vinginevyo mkisikia tumeua hawa vibaka msije kutusumbua.
Wakikamatwa mnalaumu polisi kuwa wanawateka huku mkidai polisi waje na kibali cha mwenyekiti wa mtaa. Hao vibaka huwa wanajulisha serikali ya mtaa?Matukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya.
Ndani ya mwezi mmoja kuna watu wawili wamekatwa mapanga na vibaka wanaotumia bodaboda. Matukio haya yote yanahusisha wasichana, ambapo mmoja ilikuwa ni saa 12 jioni anatoka kazini kurudi nyumbani na tukio lingine limetokea wiki iliyopita saa 1 asubuhi mdada mwingine akiwa anaenda kazini.
Kinachofanyika kinasikitisha sana. Vijana hawa huja na boda wakiwa wamepakiana, na mara nyingi huendesha kwa kasi huku wakimpita mhusika kwenda mbele kukagua kama kuna watu, wakiona hakuna watu hurudi kwa kasi tena na kutoa panga kisha huanza kukata sehemu yoyote wayaoona inafaa.
Kwa visa hivi viwili, mmoja alikatwa taya nusu lidondoke na mwingine kakatwa mkono. Na baada ya kufanya hivi hubeba simu/mkoba wake na kutokomea nao kusikojulikana.
Kwenye tukio la wiki iliyopa, baada ya kukata mkono wa huyo dada waliendesha boda yao ya kasi sana kuelekea Maeneo ya Kimara Bucha huku wakifukuzwa na watu lakini bahati mbaya kutokana na ujenzi wa barabara unaoendeelea litokea gari katikati likaziba njia wakawa wamenusurika vinginevyo wangeuawa. Kumbuka, hii ilikuwa ni saa 1 asubuhi.
Kwasasa wananchi tumeanza kujilinda, tunaomba mamlaka za ulinzi zifike eneo hili kuimarisha ulinzi. Vinginevyo mkisikia tumeua hawa vibaka msije kutusumbua.
Uko sahihi Cha msingi kuwa na ushirukiano baina yenu libebeni jambo pamojaBinafsi juzi kati hapa Kuna vibaka watatu wamewakaba wadogo zangu wawili(wa kike) wakawapiga,wakawapora pesa za mauzo yote ya dukani na simu ya mkononi( smart phone). ktk hao vibaka mmoja walimtambua/ tumemtambua maana muda mwingi alikuwa akionekana pale mtaani kwetu.
Sasa baada ya hilo tukio kibaka huyo ametoweka mtaani na haonekani tena, namtafuta !! Nikimnasa!! Na nitamnasa tu!! Atawataja wenzie wote aliokuwa nao! Sina haraka nae Wacha akimbie kimbie tu
Ni kuua na kusambaaTatizo polisi wanawatetea,tukiwaua wanatupa kesi ya kujichukulia sheria mkononi,wakitujeruhi hawawakamati na wakikamatwa mahakama inawaacha huru
NaKwa kweli hii ni mbaya sana mfakazi kazi mwezangu hao boda vibaka wamemjeruhi kichwani kashona nyuzii 15 msongora kitunda huko