Vibali biashara ya kusafirisha mifugo

CSC

Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
79
Reaction score
16
Wapendwa, nisaidieni nahitaji kwenda kununua ng'ombe na mbuzi Dodoma na Shinyanga kuja kuuza Dar, Pugu na Vingunguti. Je nahitajika kuwa na vibali gani ili kuruhusiwa?
 
Unatakiwa kuwa na Leseni ya Biashara, uwe umelipia mapato(uwe na ile karatasi ya mchanganuo wa ulipaji wako wa kodi kwa mwaka). Document nyingine utazipata mnadani. Kama unataka kusafirisha ať once tuwasiliane unaweza tumia nyaraka zangu. Kwa maelewano. Ila nakushauri tafuta mtu mwenyeji na mzoefu otherwise utaenda kukata hela yako. All the best
 
Aksante diwan kwa ushauri. Nitaku pm ili tuwasiliane zaidi.
 
Aksante diwan kwa ushauri. Nitaku pm ili tuwasiliane zaidi.
Unatarajia kununua wa kiasi gani kwa makisio?,naweza pia kukuunganisha na wanaofanya biashara hiyo
 
Wapendwa, nisaidieni nahitaji kwenda kununua ng'ombe na mbuzi Dodoma na Shinyanga kuja kuuza Dar, Pugu na Vingunguti. Je nahitajika kuwa na vibali gani ili kuruhusiwa?
mambo vp ? ebhana hii biashara imekaaje mzeiya , vp naeza pata ushauri kutoka kwako kama inawezekana, nicheki kwa 0767328063 whatssap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…