Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemuuliza na Shy land??Aksante diwan kwa ushauri. Nitaku pm ili tuwasiliane zaidi.
Unatarajia kununua wa kiasi gani kwa makisio?,naweza pia kukuunganisha na wanaofanya biashara hiyoAksante diwan kwa ushauri. Nitaku pm ili tuwasiliane zaidi.
mambo vp ? ebhana hii biashara imekaaje mzeiya , vp naeza pata ushauri kutoka kwako kama inawezekana, nicheki kwa 0767328063 whatssapWapendwa, nisaidieni nahitaji kwenda kununua ng'ombe na mbuzi Dodoma na Shinyanga kuja kuuza Dar, Pugu na Vingunguti. Je nahitajika kuwa na vibali gani ili kuruhusiwa?