Vibali vya ajira wizara ya afya 2012/2013 vinatoka lini?

rweihimba

Member
Joined
Feb 3, 2010
Posts
9
Reaction score
2
Serikali imekuwa ikitoa vibali vya ajira wizara ya afya kuanzia mwezi october mwanzoni mbona mwaka huu umepita bila kutoa vibali
 
Kwa sababu una hamu ya kujua...na kuomba kazi huko:becky:
 
dogo kwani hakumsikiliza waziri mkuu mheshimiwa pindi alivyokuwa anajibu maswali bungeni wakati wa mgomo??nakukumbusha tu alisema hivi liwalo na liwe

mwenye akili haambiwi fafanua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…