R rweihimba Member Joined Feb 3, 2010 Posts 9 Reaction score 2 Nov 1, 2012 #1 Serikali imekuwa ikitoa vibali vya ajira wizara ya afya kuanzia mwezi october mwanzoni mbona mwaka huu umepita bila kutoa vibali
Serikali imekuwa ikitoa vibali vya ajira wizara ya afya kuanzia mwezi october mwanzoni mbona mwaka huu umepita bila kutoa vibali
G geophysics JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 904 Reaction score 167 Nov 2, 2012 #2 Kwa sababu una hamu ya kujua...na kuomba kazi huko:becky:
X xiande Member Joined Oct 3, 2012 Posts 90 Reaction score 12 Nov 2, 2012 #3 dogo kwani hakumsikiliza waziri mkuu mheshimiwa pindi alivyokuwa anajibu maswali bungeni wakati wa mgomo??nakukumbusha tu alisema hivi liwalo na liwe mwenye akili haambiwi fafanua...
dogo kwani hakumsikiliza waziri mkuu mheshimiwa pindi alivyokuwa anajibu maswali bungeni wakati wa mgomo??nakukumbusha tu alisema hivi liwalo na liwe mwenye akili haambiwi fafanua...
2mbaku JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 316 Reaction score 67 Nov 2, 2012 #4 Vinatoka next week!!
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,431 Reaction score 4,925 Nov 2, 2012 #5 muda sahii ukifika