kindondindo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 503
- 149
mimi nimepiga simu kwa mtu wa tamisemi kanambia majina tayari yameshawekwa so inawezekana mtandao unasumbua pia
mnisamehe msinifkrie vbaya may b najisfu hapana
jamani tusidanganyani bila sababu.
vibali vitatokaje kabla majina hayajawekwa mtandaoni wala kutangazwa???? utaratibu huu ni Wa tangu lini? sisi ambao hatuna nduguTamisemi inamaana tutegemeee nini? Jamani watu walioko Tamisemi tutaluineni huu mtego????
mkuu nikweli nnavyo zani manyon ipokaribu na Dodoma ndio maana vimewah lakini hatakama hunandugu tamisemi utafanikiwa mi sina hata ndugu mlinzi pale!