Vibali vya uhamisho Halmashauri ya manyoni vipo tayari

Vibali vya uhamisho Halmashauri ya manyoni vipo tayari

Jamani tusidanganyani bila sababu.

Vibali vitatokaje kabla majina hayajawekwa mtandaoni wala kutangazwa ? utaratibu huu ni Wa tangu lini?

Sisi ambao hatuna nduguTamisemi inamaana tutegemeee nini? Jamani watu walioko Tamisemi tutaluineni huu mtego ?
 
MWANAKASULU

Mimi nimepiga simu kwa mtu wa tamisemi kanambia majina tayari yameshawekwa so inawezekana mtandao unasumbua pia
mnisamehe msinifkrie vbaya may b najisfu hapana
 
Last edited by a moderator:
sidanganyi mimi nimechukua jana! ndaniyasiku 14 nikaripoti kituo kipya
 
jamani tusidanganyani bila sababu.
vibali vitatokaje kabla majina hayajawekwa mtandaoni wala kutangazwa???? utaratibu huu ni Wa tangu lini? sisi ambao hatuna nduguTamisemi inamaana tutegemeee nini? Jamani watu walioko Tamisemi tutaluineni huu mtego????

mkuu nikweli nnavyo zani manyon ipokaribu na Dodoma ndio maana vimewah lakini hatakama hunandugu tamisemi utafanikiwa mi sina hata ndugu mlinzi pale!
 
mkuu nikweli nnavyo zani manyon ipokaribu na Dodoma ndio maana vimewah lakini hatakama hunandugu tamisemi utafanikiwa mi sina hata ndugu mlinzi pale!

Tayari Moyo wangu ndo umetulia coz tayari majina yako Released ktk website ya Tamisemi.
Nimo na mm. Barua wamesema zitatumwa Kwa Ma Ded Wetu.
 
Back
Top Bottom